Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Yeyote anayehudhuria Sala ya Jamaa kwa kudumu, atakuwa pia miongoni mwa wanaosimamisha Sala ya Usiku (Tahajjud); na anayesimamisha Swala ya Usiku kwa ikhlasi, hatokosa kuwa miongoni mwa wanaoshiriki Swala ya Jamaa. Ibada hizi mbili zinakamilishana na ni nguzo muhimu katika kujenga uimara wa kiroho na ukaribu kwa Mwenyezi Mungu.

Your Comment